Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Julai uku. 7
  • Julai 26–Agosti 1

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 26–Agosti 1
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Julai uku. 7

Julai 26–Agosti 1

KUMBUKUMBU LA TORATI 19-21

  • Wimbo 141 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Uhai wa Mwanadamu Ni Wenye Thamani kwa Yehova”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kum 21:19—Kwa nini mahakama ilikuwa kwenye lango la jiji? (it-1 518 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Kum 19:1-14 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video). (th somo la 6)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) bhs 138 ¶8 (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 37

  • “Tembea kwa Usalama Katika Njia Yako”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha uliza maswali yafuatayo: Kwa nini tunapaswa kuzingatia usalama? Ni mambo gani hususa ambayo tunapaswa kufanya ili kuonyesha tunazingatia usalama?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 11 ¶9-17

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 108 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki