Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Julai uku. 8
  • Agosti 2-8

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 2-8
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Julai uku. 8

Agosti 2-8

KUMBUKUMBU LA TORATI 22-23

  • Wimbo 1 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jinsi Sheria Ilivyoonyesha Yehova Anawajali Wanyama”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho (Dak. 10)

    • Kum 23:19, 20—Kwa nini mgeni angetozwa riba lakini Mwisraeli hakupaswa kumtoza riba Mwisraeli mwenzake? (it-1 600)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Kum 23:1-14 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • “Ongeza Shangwe Yako Katika Huduma—Gusa Moyo”: (Dak. 9) Mazungumzo. Onyesha video Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi—Boresha Ustadi Wako—Kugusa Moyo.

  • Hotuba: (Dak. 5) g 4/15 13—Kichwa: Je, Ni Kosa Kuua Wanyama? (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 62

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 11 ¶18-26, sanduku 11A

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 77 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki