Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Julai uku. 10
  • Agosti 9-15

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 9-15
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Julai uku. 10

Agosti 9-15

KUMBUKUMBU LA TORATI 24-26

  • Wimbo 137 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jinsi Sheria Ilivyoonyesha Yehova Anawajali Wanawake”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kum 24:1—Je, Sheria ya Musa ilifanya iwe rahisi kwa mwanamume kumtaliki mke wake? (it-1 640 ¶5)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Kum 26:4-19 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4)Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 2)

  • Hotuba: (Dak. 5) w19.06 23-24 ¶13-16—Kichwa: Tunaweza Kumfariji na Kumtegemeza Jinsi Gani Mtu Aliyefiwa na Mwenzi Wake? (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 100

  • “Watendee Wanawake Wazee Kama Mama, na Wanawake Vijana Kama Dada”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Onyesha Upendo Usioshindwa Kutanikoni—Kwa Wajane na Watoto Wasio na Baba.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 12 ¶1-6, video ya utangulizi, sanduku 12A

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 101 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki