Agosti 16-22
KUMBUKUMBU LA TORATI 27-28
Wimbo 89 na Sala
Utangulizi (Dak. 1)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Baraka Hizi Zote Zitawatangulia”: (Dak. 10)
Hazina za Kiroho: (Dak. 10)
Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Kum 28:1-14 (th somo la 11)
BORESHA HUDUMA YAKO
Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 6)
Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mpe mwenye nyumba mwaliko wa kuhudhuria mkutano, na utoe utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video). (th somo la 3)
Funzo la Biblia: (Dak. 5) lvs 234 ¶21-22 (th somo la 9)
MAISHA YA MKRISTO
“Jinsi Uumbaji Unavyofunua Upendo wa Mungu”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Uumbaji Hufunua Upendo wa Yehova.
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 12 ¶7-14
Umalizio (Dak. 3)
Wimbo 14 na Sala