Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Julai uku. 14
  • Agosti 23-29

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 23-29
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Julai uku. 14

Agosti 23-29

KUMBUKUMBU LA TORATI 29-30

  • Wimbo 3 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kumtumikia Yehova Si Vigumu Sana”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kum 29:4—Waisraeli ni mfano wa kuonya kwetu kwa njia gani? (it-1 665 ¶3)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Kum 29:1-18 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwachie kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Anzisha funzo la Biblia, kisha utoe utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? (lakini usionyeshe video). (th somo la 6)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lvs 226-227 ¶3-5 (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 73

  • “Kuwa Jasiri Si Vigumu Sana”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Waige Si Waoga, Bali Wenye Ujasiri!.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 12 ¶15-21

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 90 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki