Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Julai uku. 15
  • Agosti 30–Septemba 5

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 30–Septemba 5
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Julai uku. 15

Agosti 30–Septemba 5

KUMBUKUMBU LA TORATI 31-32

  • Wimbo 78 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jifunze Kutokana na Usemi wa Mfano Katika Wimbo wa Biblia”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kum 31:12—Wazazi Wakristo wanaweza kutumiaje kanuni hii? (w04 9/15 27 ¶12)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Kum 32:36-52 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Badilisha mazungumzo yako kulingana na mahitaji ya mwenye nyumba, na utumie andiko linalofaa. (th somo la 12)

  • Hotuba: (Dak. 5) w07 5/15 15-16—Kichwa: Watoto Wenu Wanawatazama! (th somo la 16)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 25

  • Jifunze Kutokana na Mifano Mizuri ya Wale Wanaoongoza: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video ‘Wakumbuke Wale Wanaoongoza’ (Ebr 13:7). Kisha waulize wasikilizaji: Tunajifunza nini kutokana na mfano wa T. J. Sullivan? George Gangas? Karl Klein? Daniel Sydlik?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 13 ¶1-6, video ya utangulizi

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 128 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki