Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Septemba uku. 4
  • Septemba 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Septemba uku. 4

Septemba 13-19

YOSHUA 1-2

  • Wimbo 97 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jinsi ya Kufanikisha Njia Yako”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Yos 2:4, 5—Kwa nini Rahabu aliwaelekeza vibaya wanaume wa mfalme ambao waliwatafuta wapelelezi? (w04 12/1 9 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Yos 2:1-16 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video Ziara ya Kurudia: Biblia—Ayu 26:7. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayoonyeshwa kwenye video.

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 11)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa broshua Furahia Maisha Milele! na uanzishe funzo la Biblia. (th somo la 16)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 56

  • “Endelea Kuzoeza Nguvu Zako za Utambuzi” (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video “Dumisha Dhamiri Njema”.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 13 ¶15-21

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 89 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki