Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Septemba uku. 8
  • Septemba 27–Oktoba 3

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 27–Oktoba 3
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Septemba uku. 8

Septemba 27–Oktoba 3

YOSHUA 6-7

  • Wimbo 144 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Epuka Vitu Visivyo na Maana”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Yos 6:20—Kuna uthibitisho gani kwamba jiji la kale la Yeriko lilishindwa bila kuzingirwa kwa muda mrefu? (w15 11/15 13 ¶2-3)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Yos 6:1-14 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video). (th somo la 9)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lffi somo la 01 jambo kuu namba 3 (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 121

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 5) Onyesha video ya Septemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Kutotii Kimakusudi Huleta Madhara: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video “Halikukosa Kutimia Hata Neno Moja”—Kisehemu. Kisha waulize wasikilizaji: Yehova alitoa amri gani ya wazi kuhusu Yeriko? Akani na familia yake walifanya nini, na kwa nini? Simulizi hili linatufundisha somo gani? Watie moyo wote watazame video nzima.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 14 ¶8-14, sanduku 13A

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 88 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki