Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Septemba uku. 9
  • Oktoba 4-10

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 4-10
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Septemba uku. 9

Oktoba 4-10

YOSHUA 8-9

  • Wimbo 127 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Masomo Tunayojifunza Kutokana na Simulizi la Wagibeoni”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Yos 8:29—Kwa nini mfalme wa Ai alitundikwa mtini? (it-1 1030)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Yos 8:28–9:2 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 2)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video). (th somo la 11)

  • Hotuba: (Dak. 5) it-1 520; 525 ¶1—Kichwa: Tunaweza Kujifunza Nini Kutokana na Agano Ambalo Yoshua Alifanya na Wagibeoni? (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 143

  • Uwe Mnyenyekevu (1Pe 5:5): (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji: Ni nini kinachoonyesha kwamba Petro na Yohana walitii maagizo ya Yesu kwa ajili ya Pasaka? Yesu alifundisha somo gani kuhusu unyenyekevu usiku uliotangulia kifo chake? Tunajuaje kwamba Petro na Yohana walijifunza somo hilo? Tunaweza kuonyeshaje unyenyekevu leo?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 14 ¶15-20

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 59 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki