Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Septemba uku. 14
  • Oktoba 25-31

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 25-31
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Septemba uku. 14

Oktoba 25-31

YOSHUA 15-17

  • Wimbo 146 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Linda Urithi Wako Wenye Thamani”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Yos 17:15, 18—Tunajuaje kwamba Israeli la kale lilikuwa na misitu mikubwa? (w15 7/15 32)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Yos 15:1-12 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwalike mwenye nyumba kwenye mikutano. (th somo la 19)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 4)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lffi somo la 01 jambo kuu namba 6 na Watu Fulani Husema (th somo la 9)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 139

  • “Tangaza Habari Njema Kwamba Ulimwengu Mpya Uko Karibu!”: (Dak. 15) Mazungumzo. Cheza wimbo uliotungwa wenye kichwa Tunatazamia Ulimwengu Mpya.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 15 ¶8-14

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 34 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki