Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Novemba uku. 2
  • Novemba 1-7

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 1-7
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Novemba uku. 2

Novemba 1-7

YOSHUA 18-19

  • Wimbo 12 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Agawa Nchi kwa Hekima”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Yos 18:1-3​—Huenda ni nini ambacho kiliwafanya Waisraeli wasianze kuishi mara moja katika eneo la magharibi mwa Yordani? (it-1 359 ¶5)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Yos 18:1-14 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video Ziara ya Kwanza: Habari Njema​—Zb 37:10, 11. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayoonyeshwa kwenye video.

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa Mnara wa Mlinzi Na. 2 2021. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 11)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 76

  • “Tunamshukuru Yehova kwa Upendo Wenu”: (Dak. 15) Mazungumzo yakiongozwa na mzee. Onyesha video ‘Tunamshukuru Mungu Sikuzote kwa Sababu Yenu’. Taja jambo moja au mawili yenye kupendeza kutoka kwenye makala za mfululizo zenye kichwa “Jinsi Michango Yako Inavyotumiwa.”

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 15 ¶15-17, sanduku 15A

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 122 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki