Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Novemba uku. 4
  • Novemba 8-14

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 8-14
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Novemba uku. 4

Novemba 8-14

YOSHUA 20-22

  • Wimbo 120 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mambo Tunayojifunza Kutokana na Kutoelewana”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Yos 21:43, 44​—Maneno haya yalitimizwaje licha ya kwamba Wakanaani wengi waliokoka uharibifu mkubwa na hawakuwa chini ya utawala wa Waisraeli? (it-1 402 ¶3)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Yos 20:1–21:3 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video Ziara ya Kurudia: Biblia​—Ufu 21:3, 4. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayoonyeshwa kwenye video.

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa broshua Furahia Maisha Milele! (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 119

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 15 ¶18-23

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 121 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki