Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Novemba uku. 5
  • Novemba 15-21

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 15-21
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Novemba uku. 5

Novemba 15-21

YOSHUA 23-24

  • Wimbo 50 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yoshua Alihimiza Taifa kwa Mara ya Mwisho”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Yos 24:2​—Je, Tera, baba ya Abrahamu alikuwa mwabudu-sanamu? (w04 12/1 12 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Yos 24:19-33 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 2)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa broshua Furahia Maisha Milele! (th somo la 20)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lffi somo la 01 muhtasari, ungejibuje, na lengo (th somo la 3)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 28

  • Epuka Mashirika Mabaya Kazini: (Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha video Epuka Mambo Yanayoharibu Ushikamanifu​—Mashirika Mabaya. Kisha waulize wasikilizaji: Dada yetu aliathiriwaje na mashirika mabaya kazini? Alifanya mabadiliko gani, na hilo lilimsaidiaje? Video hii inakufundisha mambo gani kuhusu kuepuka mashirika mabaya?

  • Pata Marafiki Mahali Usipotarajia: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji: Ni hali zipi zilizomfanya Akil aanze kushirikiana na mashirika mabaya shuleni? Alipataje mashirika mazuri kutanikoni? Video hii inakufundisha mambo gani kuhusu kutafuta mashirika mazuri?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 16 ¶1-8, video ya utangulizi

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 39 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki