Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Novemba uku. 8
  • Novemba 29-Desemba 5

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 29-Desemba 5
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Novemba uku. 8

Novemba 29–Desemba 5

WAAMUZI 4-5

  • Wimbo 137 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Anawatumia Wanawake Wawili Kuwaokoa Watu Wake”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Amu 5:20​—Nyota zilipiganaje kutoka mbinguni kwa niaba ya Baraka? (w05 1/15 25 ¶5)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Amu 4:1-16 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa Mnara wa Mlinzi Na. 2 2021. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa broshua Furahia Maisha Milele! (th somo la 4)

  • Hotuba: (Dak. 5) w06 3/1 28-29​—Kichwa: Ni Katika Maana Gani Wanawake Wanapaswa ‘Kukaa Kimya Katika Makutaniko’?​—1Ko 14:34. (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 84

  • “Akina Dada Wanaweza Kufanya Nini Ili Kujitoa Zaidi?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video “Wanawake Wanaofanya Kazi kwa Bidii Katika Bwana”.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 16 ¶14-20, sanduku 16B

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 27 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki