Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Novemba uku. 12
  • Desemba 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Novemba uku. 12

Desemba 13-19

WAAMUZI 8-9

  • Wimbo 125 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Unyenyekevu Ni Bora Kuliko Kiburi”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Amu 8:27​—Je, Gideoni aliabudu efodi aliyotengeneza? (it-1 753 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Amu 8:28–9:6 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 9)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa broshua Furahia Maisha Milele! na uanzishe funzo la Biblia. (th somo la 20)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lffi somo la 02 jambo kuu namba 4 (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 108

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 5) Onyesha video ya Desemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 10)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 17 ¶9-14

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 22 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki