Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Januari uku. 2
  • Januari 3-9

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 3-9
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Januari uku. 2

Januari 3-9

WAAMUZI 15-16

  • Wimbo 124 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Usaliti Ni Kitu Kinachochukiza!”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Amu 16:1-3​—Tunapaswa kuelewaje mistari hii? (w05 3/15 27 ¶6)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Amu 16:18-31 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Ziara ya Kwanza: Mungu Anajali—Mt 10:29-31. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa broshua Furahia Maisha Milele! na utoe utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video). (th somo la 9)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 131

  • Biblia Iliokoa Ndoa Yetu: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji: Ni kanuni zipi za Biblia zilizosaidia kila mmoja kuokoa ndoa yao? Kurudisha ratiba nzuri ya kiroho kuliwasaidiaje? Kwa nini wenzi wa ndoa hawapaswi kukata tamaa wanapojaribu kushughulikia matatizo katika ndoa yao? Wenzi wa ndoa wanaweza kupata wapi msaada wa kiroho?​—Yak 5:14, 15.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 18 ¶9-15, sanduku 18A

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 149 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki