Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Januari uku. 4
  • Januari 17-23

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 17-23
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Januari uku. 4

Januari 17-23

WAAMUZI 20-21

  • Wimbo 47 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Endelea Kutafuta Mwongozo wa Yehova”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Amu 20:16​—Kombeo zilitumiwaje katika vita nyakati za kale? (w14 5/1 11 ¶4-6)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Amu 20:1-13 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 5)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Mashahidi wa Yehova Ni Nani? (lakini usionyeshe video). (th somo la 17)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lffi somo la 03 utangulizi na jambo kuu namba 1-3 (th somo la 4)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 5

  • “Uumbaji Unaimarisha Tumaini Letu Katika Hekima ya Yehova”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video zifuatazo: Je, Ni Kazi ya Ubuni? Chungu Wanaepukaje Msongamano Barabarani? na Je, Ni Kazi ya Ubuni? Uwezo wa Nyuki wa Kupaa. Watie moyo wasikilizaji wapitie mfululizo wa makala za jw.org zenye kichwa “Je, Ni Kazi ya Ubuni?” wakati wa ibada ya familia.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sehemu ya 5, sura ya 19 ¶1-6, video ya utangulizi, sanduku 19A

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 87 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki