Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Januari uku. 6
  • Januari 24-30

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 24-30
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Januari uku. 6

Januari 24-30

RUTHU 1-2

  • Wimbo 108 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Fuatia Upendo Mshikamanifu”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ru 1:20, 21​—Kwa nini Naomi alisema Yehova alifanya maisha yake yawe machungu sana? (w05 3/1 27 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ru 1:1-17 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video). (th somo la 9)

  • Hotuba: (Dak. 5) ia 43-44 ¶5-9​—Kichwa: Ni Nani Wanaofanyiza Familia? (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 54

  • “Uwe na Uhakika Yehova Atakuonyesha Upendo Mshikamanifu”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Ripoti ya Halmashauri ya Waratibu ya 2019.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 19 ¶7-15

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 97 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki