Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Januari uku. 14
  • Februari 21-27

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 21-27
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Januari uku. 14

Februari 21-27

1 SAMWELI 6-8

  • Wimbo 9 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mfalme Wako Ni Nani?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Sa 7:3​—Mstari huu unatufundisha nini kuhusu kugeuka na kutubu? (w02 4/1 12 ¶13)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Sa 7:1-14 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa gazeti linalopatana na habari ambayo mwenye nyumba ametokeza. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwalike mwenye nyumba kwenye mikutano. (th somo la 18)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lffi muhtasari wa somo la 03, ungejibuje? na lengo (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 28

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 10)

  • Je, Utatumikia Ukiwa Painia Msaidizi Mwezi wa Machi na Aprili?: (Dak. 5) Mazungumzo yakitegemea makala iliyo kwenye Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha la Januari-Februari 2021 ukurasa wa 16.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 21 ¶1-6, video ya utangulizi, sanduku 21A

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 35 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki