Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Machi uku. 2
  • Machi 7-13

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 7-13
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Machi uku. 2

Machi 7-13

1 SAMWELI 12-13

  • Wimbo 4 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kimbelembele Huongoza Kwenye Aibu”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Sa 12:21​—Watu wangewezaje kuwa wakifuata “vitu vya ubatili” (au, “vya kuwaziwa,” maelezo ya chini)? (w11 7/15 13 ¶15)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Sa 12:1-11 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Ziara ya Kwanza: Yesu​—Mt 16:16. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 1)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 04 utangulizi na jambo kuu namba 1-2 (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 46

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 5) Onyesha video ya Machi ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 10)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 21 ¶13-18

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 26 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki