Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Machi uku. 12
  • Aprili 18-24

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 18-24
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Machi uku. 12

Aprili 18-24

1 SAMWELI 23-24

  • Wimbo 114 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mngojee Yehova kwa Subira”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Sa 23:16, 17​—Tunaweza kuigaje mfano wa Yonathani? (w17.11 27 ¶11)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Sa 23:24–24:7 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 6)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 13)

  • Hotuba: (Dak. 5) w19.03 23-24 ¶12-15​—Kichwa: Uwe na Subira Kuelekea Watu Unaowafundisha. (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 128

  • “Majaribu Yote Yana Mwisho”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Watu Wenye Umoja Katika Ulimwengu Uliogawanyika.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr Muhtasari wa Ufafanuzi Mpya, swali la 5-8

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 96 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki