Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 2
  • Mei 2-8

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 2-8
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 2

Mei 2-8

1 SAMWELI 27-29

  • Wimbo 71 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mbinu ya Vita ya Daudi”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Sa 28:15​—Sauli “alimwona” nani katika pindi hii? (w10 1/1 20 ¶5-6)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Sa 27:1-12 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Ziara ya Kwanza: Kuteseka​—Yak 1:13. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa broshua Furahia Maisha Milele! na utoe utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video). (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 129

  • Kuwa Imara Licha ya Upinzani: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji maswali yafuatayo: Tunajifunza nini kutokana na mfano wa ndugu walioishi Ujerumani wakati wa Wanazi? Tunajifunza nini kutokana na mfano wa ndugu zetu nchini Urusi na walioishi wakati wa Muungano wa Sovieti?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 02

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 94 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki