Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 4
  • Mei 16-22

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 16-22
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 4

Mei 16-22

2 SAMWELI 1-3

  • Wimbo 103 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Tunajifunza Nini Kutokana na Wimbo wa ‘Upinde’?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Sa 1:26​—Kwa nini Daudi angeweza kumwita Yonathani “ndugu yangu”? (it-1 369 ¶2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Sa 3:1-16 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Eleza mwenye nyumba jinsi ya kujifunza Biblia bila malipo, na umpe kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 20)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 04 jambo kuu namba 5 na Watu Fulani Husema (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 107

  • “Upendo . . . Haushangilii Ukosefu wa Uadilifu”: (Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha video Kumbuka Jinsi Upendo Ulivyo​—Haushangilii Ukosefu wa Uadilifu.

  • “Upendo . . . Hutumaini Mambo Yote”: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video Kumbuka Jinsi Upendo Ulivyo​—Hutumaini Mambo Yote.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 04

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 2 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki