Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 8
  • Mei 30–Juni 5

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 30–Juni 5
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 8

Mei 30–Juni 5

2 SAMWELI 7-8

  • Wimbo 22 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Anafanya Agano na Daudi”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Sa 8:2​—Unabii ulitimizwaje Daudi alipowashinda Wamoabu? (it-2 206 ¶2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Sa 7:1-17 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo, na ulihusianishe na tukio la karibuni. Toa gazeti linalopatana na habari ambayo mwenye nyumba ametokeza. (th somo la 13)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo, na ulihusianishe na tukio la karibuni. Eleza mwenye nyumba jinsi ya kujifunza Biblia bila malipo, na umpe kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 18)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff muhtasari wa somo la 04, ungejibuje, na lengo (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 91

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 10)

  • “Tumia Matukio ya Karibuni Katika Huduma Yako”: (Dak. 5) Mazungumzo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 06

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo Mpya wa Kusanyiko la Eneo la 2022 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki