Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 12
  • Juni 20-26

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 20-26
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 12

Juni 20-26

2 SAMWELI 13-14

  • Wimbo 127 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ubinafsi wa Amnoni Ulitokeza Msiba”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Sa 14:25, 26​—Tunajifunza nini kuhusu urembo wa kweli kutoka kwa Absalomu? (g04 12/22 8-9)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Sa 14:8-20 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa gazeti linalopatana na habari ambayo mwenye nyumba ametokeza. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwalike mwenye nyumba kwenye mikutano. (th somo la 18)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 05 jambo kuu namba 6 na Watu Fulani Husema (th somo la 18)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 68

  • “Tumia Furahia Maisha Milele! Kujenga Imani Katika Yehova na Yesu”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Jenga Imani Katika Yehova kwa Kutumia Chapisho “Furahia Maisha Milele!” na Jenga Imani Katika Yesu kwa Kutumia Chapisho “Furahia Maisha Milele!”

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 09

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 47 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki