Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 14
  • Juni 27–Julai 3

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 27–Julai 3
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 14

Juni 27–Julai 3

2 SAMWELI 15-17

  • Wimbo 123 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Absalomu Aliasi kwa Sababu ya Kiburi”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Sa 16:4​—Tunajifunza nini kutokana na uamuzi ambao Daudi alifanya haraka-haraka? (w18.08 6 ¶11)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Sa 17:17-29 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida. (th somo la 7)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? (lakini usionyeshe video). (th somo la 2)

  • Hotuba: (Dak. 5) w09 5/15 27-28​—Kichwa: Iga Bidii ya Itai Katika Huduma Yako.​—2Sa 15:19-22. (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 106

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 5)

  • “Upendo . . . Haujivuni”: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video Kumbuka Jinsi Upendo Ulivyo​—Haujivuni.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 10

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 87 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki