Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Julai uku. 2
  • Julai 4-10

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 4-10
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Julai uku. 2

Julai 4-10

2 SAMWELI 18-19

  • Wimbo 138 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Barzilai​—Mfano Bora wa Mtu Mwenye Kiasi”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Sa 19:24-30​—Mfano wa Mefiboshethi unaweza kutuimarishaje? (w20.04 30 ¶19)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Sa 19:31-43 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Kusudi la Mungu​—Mwa 1:28. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo.a Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida. (th somo la 1)

  • Hotuba: (Dak. 5) w21.08 23-25 ¶15-19​—Kichwa: Tunaweza Kujiwekea Miradi Gani Yenye Usawaziko Hali Zetu Zinapotuzuia Kufanya Mengi? (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 81

  • “Jiwekee Miradi kwa Ajili ya Mwaka Mpya wa Utumishi​—Upainia”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Uwe Jasiri Ukiwa . . . Painia.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 11

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 97 na Sala

a Tazama makala kwenye ukurasa wa 16.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki