Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Julai uku. 7
  • Julai 25-31

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 25-31
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Julai uku. 7

Julai 25-31

2 SAMWELI 23-24

  • Wimbo 76 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Je, Unachotoa Ni Dhabihu?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Sa 23:15-17​—Kwa nini Daudi alikataa kunywa maji aliyoletewa? (w05 5/15 19 ¶6)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Sa 23:1-12 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anzisha mazungumzo ukitumia ukurasa wa nyuma wa broshua Furahia Maisha Milele! Fanya mipango ya kurudi ili kujibu swali kwenye kichwa cha somo la 01. (th somo la 9)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Mrudie mtu aliyepokea broshua Furahia Maisha Milele!, kisha uanzishe funzo la Biblia. (th somo la 3)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 05 muhtasari, ungejibuje, na lengo (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 17

  • Toa Dhabihu kwa Hiari (Zb 54:6): (Dak. 9) Onyesha video.

  • Uwe Rafiki ya Yehova​—Kujidhabihu: (Dak. 6) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha, ikiwezekana, waulize watoto walioteuliwa mapema: Sofia na Caleb walijidhabihu jinsi gani? Mfano wa Yesu ulimsaidiaje Caleb? Wewe umejidhabihu jinsi gani kwa ajili ya Yehova na watu wengine?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 13 na maelezo ya ziada 1

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 32 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki