Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 9
  • Oktoba 3-9

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 3-9
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 9

Oktoba 3-9

1 WAFALME 17-18

  • Wimbo 32 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mtaendelea Kuyumbayumba Kati ya Maoni Mawili Tofauti Mpaka Wakati Gani?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Fa 18:1​—Kwa nini Yesu alisema kwamba ukame katika siku za Eliya uliendelea kwa “miaka mitatu na miezi sita”? (Lu 4:25; w08 4/1 19, sanduku)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Fa 18:36-46 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video Ziara ya Kwanza: Biblia​—2Ti 3:16, 17. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 12)

  • Hotuba: (Dak. 5) w14 2/15 14-15​—Kichwa: Mambo Tunayojifunza Kutokana na Imani ya Mjane. (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 111

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 21

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 83 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki