Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Novemba uku. 6
  • Novemba 28–Desemba 4

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 28–Desemba 4
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Novemba uku. 6

Novemba 28–Desemba 4

2 WAFALME 11-12

  • Wimbo 59 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mwanamke Mwovu, Aliyejitakia Makuu Aadhibiwa”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Fa 12:1​—Kwa nini ilikuwa muhimu kwa Yehova kumlinda Yehoashi asiuawe? (it-1 1265-1266)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Fa 11:1-12 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwalike mtu huyo kwenye mikutano, toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video), kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 4)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mweleze kuhusu programu yetu ya kujifunza Biblia bila malipo, kisha toa broshua Furahia Maisha Milele! Toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? (lakini usionyeshe video), kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 3)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 08 utangulizi wa Chimba Zaidi na jambo kuu la 4 (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 84

  • “Kwa Nini Wakristo Wanapaswa Kujitahidi Kufikia Mapendeleo?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Kwa Nini Ujitahidi Kustahili Mapendeleo? (1Ti 3:1)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 29

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 77 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki