Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Novemba uku. 12
  • Desemba 19-25

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 19-25
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Novemba uku. 12

Desemba 19-25

2 WAFALME 18-19

  • Wimbo 148 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jinsi Wapinzani Wetu Wanavyojaribu Kutudhoofisha”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Fa 19:37​—Mstari huu unaonyeshaje umuhimu wa kuchunguza vizuri ikiwa ugunduzi wa vitu vya kale vilivyochimbuliwa unategemeka? (it-1 155 ¶4)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Fa 18:1-12 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwalike mtu huyo kwenye mikutano, toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video), kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mweleze kuhusu programu yetu ya kujifunza Biblia bila malipo, na umwachie kadi ya mawasiliano ya masomo ya Biblia. (th somo la 2)

  • Hotuba: (Dak. 5) w20.11 15 ¶14​—Kichwa: Sali kwa Ajili ya Wanaoteswa—Jinsi Gani? (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 128

  • “Shangilia Unapoteswa”: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video Tunaweza Kuwa na Shangwe Licha ya Mateso.

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 7)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 32 jambo kuu la 1-4 na chati “Jinsi Ile Ndoto ya Mti Inavyohusiana na Ufalme wa Mungu”

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 22 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki