Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Novemba uku. 14
  • Desemba 26, 2022–Januari 1, 2023

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 26, 2022–Januari 1, 2023
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Novemba uku. 14

Desemba 26, 2022–Januari 1, 2023

2 WAFALME 20-21

  • Wimbo 41 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Sala Ilimchochea Yehova Kutenda”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Fa 21:13​—Ni katika njia gani Yehova angetumia timazi kupima Yerusalemu? (it-2 240 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Fa 21:1-15 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida. (th somo la 4)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mweleze kuhusu tovuti yetu, na umwachie kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 6)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 08 jambo kuu la 6 (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 47

  • “Sala Zetu Ni Muhimu kwa Yehova”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Ninadumu Katika Sala.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 32 jambo kuu la 5-6 na muhtasari, ungejibuje, na lengo

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 142 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki