Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Januari uku. 3
  • Januari 9-15

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 9-15
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Januari uku. 3

Januari 9-15

2 WAFALME 24-25

  • Wimbo 60 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Dumisha Hisi Yako ya Uharaka”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Fa 24:3, 4​—Mistari hii inatufundisha nini kumhusu Yehova? (w05 8/1 12 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Fa 24:1-17 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video Ziara ya Kurudia: Sala​—1Yo 5:14. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Tumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 15)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo, na uanzishe funzo la Biblia katika somo la 01 la broshua Furahia Maisha Milele! (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 143

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff mambo makuu ya sehemu ya 2

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 54 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki