Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Machi uku. 2
  • Machi 6-12

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 6-12
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Machi uku. 2

Machi 6-12

1 MAMBO YA NYAKATI 23-26

  • Wimbo 123 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ibada Hekaluni Inapangwa kwa Utaratibu Mzuri”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Nya 25:​7, 8​—⁠Mistari hii inaonyesha nini kuhusu umuhimu wa kuimba nyimbo za kumsifu Yehova? (w22.03 22 ¶10)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Nya 23:21-32 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Mwaliko wa Ukumbusho: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video Kampeni ya Kuwaalika Watu Kwenye Ukumbusho. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Mwaliko wa Ukumbusho: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Baada ya mwenye nyumba kuonyesha upendezi, toa utangulizi wa video Kumbuka Kifo cha Yesu, (lakini usionyeshe video) kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 11)

  • Hotuba: (Dak. 5) w11 6/1 14-15​—Kichwa: Kwa Nini Wakristo Wamepangwa kwa Utaratibu? (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 101

  • “Jinsi ya Kusaidia Baada ya Janga”: (Dak. 10) Mazungumzo na video.

  • Kampeni ya Ukumbusho Itaanza Jumamosi, Machi 11: (Dak. 5) Mazungumzo. Pitieni mwaliko kwa ufupi. Taja mipango ya kutaniko lenu ya hotuba ya pekee, ya Ukumbusho, na ya kuwaalika wote katika eneo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 39 na maelezo ya ziada 3

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 127 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki