Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Machi uku. 6
  • Machi 27–Aprili 2

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 27–Aprili 2
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Machi uku. 6

Machi 27–Aprili 2

2 MAMBO YA NYAKATI 5-7

  • Wimbo 129 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Moyo Wangu Utakuwa Humo Sikuzote”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Nya 6:29, 30—Maneno haya ya sala ya Sulemani yanawezaje kutufariji? (w10 12/1 11 ¶7)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Nya 6:28-42 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Mwaliko wa Ukumbusho: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Baada ya mwenye nyumba kuonyesha upendezi, toa utangulizi wa video Kumbuka Kifo cha Yesu, (lakini usionyeshe video) kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Baada ya hotuba ya Ukumbusho, anzisha mazungumzo na mtu uliyemwalika kisha ujibu swali analouliza kuhusu programu. (th somo la 17)

  • Hotuba: (Dak. 5) w93 2/1 31—Kichwa: Tufanye Nini Ikiwa Hatuwezi Kuhudhuria Ukumbusho kwa Sababu za Pekee? (th somo la 18)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 36

  • “Linda Moyo Wako”: (Dak. 10) Mazungumzo na video.

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 5)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 41 jambo kuu la 5, muhtasari, ungejibuje, na lengo

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 34 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki