Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Mei uku. 2
  • Mei 1-7

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 1-7
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Mei uku. 2

Mei 1-7

2 MAMBO YA NYAKATI 17-19

  • Wimbo 114 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Waone Wengine Kama Yehova Anavyowaona”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Nya 17:9—Tunaweza kujifunza nini kutokana na kampeni ya kufundisha iliyopangwa na Yehoshafati? (w17.03 20 ¶10-11)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Nya 17:1-19 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video Ziara ya Kwanza: Biblia—Ro 15:4. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 18)

  • Hotuba: (Dak. 5) w21.05 17-18 ¶11-15—Kichwa: Dumisha Mtazamo Unaofaa Ikiwa Watu Hawapendezwi. (th somo la 16)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 104

  • “Uwe na Maoni Kama ya Yehova Kujihusu”: (Dak. 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 44 jambo kuu la 5-6, muhtasari, ungejibuje, na lengo

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 111 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki