Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Mei uku. 4
  • Mei 8-14

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 8-14
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Mei uku. 4

Mei 8-14

2 MAMBO YA NYAKATI 20-21

  • Wimbo 118 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Iweni na Imani Katika Yehova Mungu Wenu”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Nya 21:14, 15—Unabii uliotolewa na Eliya kumhusu Yehoramu ulitimizwaje? (it-1 1271 ¶1-2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Nya 20:20-30 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video Ziara ya Kurudia: Biblia—Ufu 21:3, 4. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Tumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 9)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 09 muhtasari, ungejibuje, na lengo (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 119

  • “Je, Umejitayarisha Kukabiliana na Kuporomoka kwa Uchumi?”: (Dak. 15) Mazungumzo na video. Yaongozwe na mzee. Tia ndani vikumbusho kutoka kwa ofisi ya tawi na kutoka kwa baraza la wazee, ikiwa vipo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 45 jambo kuu la 1-3

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo Mpya wa Kusanyiko la Eneo la 2023 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki