Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Mei uku. 11
  • Juni 12-18

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 12-18
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Mei uku. 11

Juni 12-18

2 MAMBO YA NYAKATI 32-33

  • Wimbo 103 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Waimarishe Wengine Wakati wa Taabu”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Nya 33:15, 16—Tunaweza kujifunza nini kutokana na mfano wa Manase? (w21.10 4-5 ¶11-12)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Nya 32:1-15 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Zungumzia ukurasa wa nyuma wa broshua Furahia Maisha Milele! kisha mwalike aanze kujifunza Biblia. (th somo la 6)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 17)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 10 jambo kuu la 5 (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 36

  • “Jilinde Dhidi ya Uasi-Imani”: (Dak. 10) Mazungumzo na video.

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 5)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 48 jambo kuu la 1-4

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 90 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki