Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Mei uku. 12
  • Juni 19-25

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 19-25
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Mei uku. 12

Juni 19-25

2 MAMBO YA NYAKATI 34-36

  • Wimbo 97 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Je, Unanufaika Kikamili Kutokana na Neno la Mungu?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Nya 35:20-23—Tunapata onyo gani kutokana na kilichompata Mfalme Yosia? (w17.03 27 ¶15-17)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Nya 35:1-14 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa broshua Furahia Maisha Milele! na mzungumzie kwa ufupi sehemu yenye kichwa “Jinsi ya Kunufaika Zaidi na Masomo Haya ya Biblia.” (th somo la 7)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mweleze kuhusu tovuti yetu, kisha mwachie kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 11)

  • Hotuba: (Dak. 5) w17.09 25-26 ¶7-10—Kichwa: Funua Nguvu za Neno la Mungu Katika Huduma Yako. (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 96

  • “Je, Unatumia Vizuri Biblia Iliyorekodiwa?”: (Dak. 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 48 jambo kuu la 5 na muhtasari, ungejibuje, na lengo

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 117 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki