Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Mei uku. 14
  • Juni 26–Julai 2

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 26–Julai 2
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Mei uku. 14

Juni 26–Julai 2

EZRA 1-3

  • Wimbo 75 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mruhusu Yehova Akutumie”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ezr 1:5, 6—Tunaweza kujifunza nini kutokana na baadhi ya Waisraeli waliobaki Babiloni? (w06 1/15 19 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ezr 2:58-70 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa broshua Furahia Maisha Milele! (th somo la 9)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 10 muhtasari, ungejibuje, na lengo (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 58

  • “Pata Shangwe ya Kuanzisha Mazungumzo”: (Dak. 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 49 jambo kuu la 1-5

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 132 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki