Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Julai uku. 2
  • Julai 3-9

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 3-9
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Julai uku. 2

Julai 3-9

EZRA 4-6

  • Wimbo 148 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Msiingilie Kazi”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ezr 6:13—Kwa nini maneno “Ng’ambo ya Mto” ni muhimu? (w93 6/15 32 ¶3-5)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ezr 4:8-24 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Ziara ya Kwanza: Kuteseka—Yak 1:13. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Tumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mweleze mwenye nyumba kuhusu tovuti yetu, na umwachie kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mweleze mwenye nyumba kuhusu programu yetu ya kujifunza Biblia, na umpe kadi ya mawasiliano ya masomo ya Biblia. (th somo la 9)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 7

  • “‘Kuitetea na Kuithibitisha Kisheria Habari Njema’”: (Dak. 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 49 jambo kuu la 6, muhtasari, ungejibuje, na lengo

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 130 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki