Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Julai uku. 8
  • Agosti 7-13

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 7-13
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Julai uku. 8

Agosti 7-13

NEHEMIA 5-7

  • Wimbo 17 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Nehemia Alitaka Kuwahudumia Wengine, Si Kuhudumiwa”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ne 6:13—Kwa nini ingekuwa dhambi kwa Nehemia kujificha hekaluni? (w07 7/1 30 ¶15)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ne 5:1-13 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video) kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 9)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa broshua Furahia Maisha Milele! (th somo la 6)

  • Hotuba: (Dak. 5) w13 5/15 7 ¶17-19—Kichwa: Waeneza-Injili Wenye Mafanikio Husaidiana. (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 90

  • “Wanafanya Kazi kwa Bidii Ili Kutuhudumia”: (Dak. 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 53

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 35 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki