Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Julai uku. 10
  • Agosti 14-20

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 14-20
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Julai uku. 10

Agosti 14-20

NEHEMIA 8-9

  • Wimbo 110 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Shangwe ya Yehova Ndiyo Ngome Yenu”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ne 8:2, 8—Ikiwa waliokuwepo wangeweza “kusikiliza na kuelewa” Sheria iliposomwa, kwa nini Walawi walihitaji kuielezea pia? (it-1 145 ¶2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ne 8:1-12 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 13)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwalike mwenye nyumba kwenye mikutano, kisha toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video) kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 11)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 11 jambo kuu la 5 na Watu Fulani Husema (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 132

  • “Unaweza Kusaidia Familia Yenu Iwe na Shangwe Zaidi”: (Dak. 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 54

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 123 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki