Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Septemba uku. 6
  • Septemba 25–Oktoba 1

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 25–Oktoba 1
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Septemba uku. 6

Septemba 25–Oktoba 1

ESTA 9-10

  • Wimbo 102 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Alitumia Mamlaka Yake Bila Ubinafsi”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Est 9:​15, 16—Kwa nini Wayahudi hawakupora nyara? (w06 3/1 11 ¶4)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Est 9:​1-14 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 2) Tumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 6)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa broshua Furahia Maisha Milele! na uanzishe funzo la Biblia. (th somo la 13)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 12 utangulizi wa Chimba Zaidi na jambo kuu la 4 (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 117

  • “Wachungaji Wanaowanufaisha Watu wa Yehova”: (Dak. 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 59 jambo kuu la 1-5

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 55 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki