Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Septemba uku. 9
  • Oktoba 9-15

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 9-15
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Septemba uku. 9

Oktoba 9-15

AYUBU 4-5

  • Wimbo 121 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jilinde Dhidi ya Habari za Uwongo”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ayu 4:4—Ayubu aliwawekea Wakristo leo mfano gani mzuri? (w03 5/15 22 ¶5-6)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ayu 5:​1-27 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 2) Tumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 4)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwonyeshe mwenye nyumba jinsi ya kupata habari kwenye jw.org. (th somo la 15)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 16 jambo kuu la 5 (th somo la 16)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 78

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 60

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 38 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki