Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Septemba uku. 10
  • Oktoba 16-22

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 16-22
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Septemba uku. 10

Oktoba 16-22

AYUBU 6-7

  • Wimbo 33 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Unapohisi Umelemewa na Hali Ngumu Maishani”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ayu 6:29—Ni nini kinachoweza kutusaidia tusiwaelewe vibaya ndugu zetu? (w20.04 16 ¶10)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ayu 6:​1-21 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 7)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 11)

  • Hotuba: (Dak. 5) w22.01 12-13 ¶15-18—Kichwa: Uwe Mwalimu Bora Kama Yakobo—Tumia Mifano Inayofaa. (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 144

  • “Yehova Huwaokoa Waliopondeka Roho”: (Dak. 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff mambo makuu ya sehemu ya 4

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 143 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki