Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Septemba uku. 14
  • Oktoba 30–Novemba 5

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 30–Novemba 5
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Septemba uku. 14

Oktoba 30–Novemba 5

AYUBU 11-12

  • Wimbo 87 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Njia Tatu za Kupata Hekima na Kunufaika Nayo”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ayu 12:11—Kanuni inayopatikana katika mstari huu inaweza kutusaidiaje kuwa wasikilizaji wazuri zaidi? (w08 8/1 11 ¶5)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ayu 12:​1-25 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mweleze mwenye nyumba kuhusu programu yetu ya kujifunza Biblia, na umwachie kadi ya mawasiliano ya kujifunza Biblia. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwalike kwenye mikutano, na utoe utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video) kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 13)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 12 muhtasari, ungejibuje, na lengo (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 135

  • “Wazazi—Wasaidieni Watoto Wenu Kupata Hekima Kutoka kwa Mungu”: (Dak. 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) bt sura ya 1 ¶8-15, sanduku uku. 12

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 3 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki