Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 4
  • Novemba 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 4

Novemba 13-19

AYUBU 15-17

  • Wimbo 90 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Elifazi Anaonyesha Jinsi Ambavyo Hatupaswi Kuwafariji Wengine”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ayu 16:22—Je, maneno ya Ayubu yanaonyesha kwamba hakuamini ufufuo? (w06 3/15 14 ¶11)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ayu 17:​1-16 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video Ziara ya Kurudia: Biblia—Ayu 26:7. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mweleze mwenye nyumba kuhusu programu yetu ya kujifunza Biblia, na umwachie kadi ya mawasiliano ya kujifunza Biblia. (th somo la 11)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff mambo makuu ya sehemu ya 1 maswali ya 6-10 (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 96

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) bt sura ya 2 ¶1-7 na utangulizi wa sehemu ya 1

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 118 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki