Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 8
  • Desemba 4-10

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 4-10
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 8

Desemba 4-10

AYUBU 22-24

  • Wimbo 49 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Je, Mwanadamu Anaweza Kuwa na Faida kwa Mungu?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ayu 23:13—Mfano wa Yehova unaweza kutusaidiaje kufikia miradi ya kiroho? (w04 7/15 21-22)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ayu 22:​1-22 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mweleze mwenye nyumba kuhusu tovuti yetu, na umwachie kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 11)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video) kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 2)

  • Hotuba: (Dak. 5) w21.05 18-19 ¶17-20—Kichwa: Mtazamo Unaofaa Unatusaidia Tuendelee Kutumiwa na Yehova. (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 134

  • “Wazazi—Wafundisheni Watoto Wenu Jinsi ya Kumfanya Mungu Ashangilie”: (Dak. 10) Mazungumzo na video.

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 5)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) bt sura ya 3 ¶1-3, masanduku uku. 23, 24, 25, 26, na 27

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 25 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki