Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 10
  • Desemba 11-17

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 11-17
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 10

Desemba 11-17

AYUBU 25-27

  • Wimbo 34 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Si Lazima Uwe Mkamilifu Ili Uwe Mtimilifu”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ayu 26:14—Tunachochewa kusema nini tunapotafakari mambo machache sana tunayofahamu kuhusu uumbaji? (w16.11 9 ¶3)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ayu 25:1–26:14 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 2) Tumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwonyeshe mwenye nyumba jinsi ya kupata habari anazopenda kwenye jw.org. (th somo la 17)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 13 utangulizi na jambo kuu la 1-3 (th somo la 15)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 45

  • “Utimilifu na Mawazo Yako”: (Dak. 5) Mazungumzo.

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 10) Onyesha video ya Desemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) bt sura ya 3 ¶4-11

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 57 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki